@rumafrica
354,000
16,490,498
4,847
2012-01-23
Karibu katika Channel yetu ya Rumafrica chini ya Mkurugenzi Rulea Sanga. Channel yetu ni kwa ajili ya kutoa habari mbalimbali za Bishara, Kijami, Teknology, Neno la Mungu kutoka kwa waimbaji, wachungaji, Maaskofu, Mapadre, Wainjilisti, Mitume, Manabii, watu wenye vipaji mbalimbali, watangazaji, wanamichezo, watu binafsi n.k.