@swahilicoding6345
326
7,598
31
2016-02-16
Swahili is the National Language of Tanzania and Kenya,It is much spoken in Tanzania, and it is used by nearby countries which are in East Africa community. In this channel we are going to learn how to code or to develop different softwares by using SWAHILI language as the medium of Instruction. You are Welcome, Here We go. Habari ndugu zangu wa damu, nikiwa naamini kabisa mda huu ni sahihi kwa sisi watu tunaozungumza lugha hii maridhawa kabisa kujifunza vity tofauti tofauti vinavyohusu teknolojia, Hadi kufikia sasa naweza sijaona vipindi vingi vinavyotoa elimu hii kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Haimaanishi kuwa haiwezekani, japo tu ni kutojiamini na kutopenda vya kwetu.Kwa kusema hayo basi naomba tushirikiane katika kujenga Mataifa yetu kwa kutumia vya kwetu.Tukutane ndani.Karibuni.