@drmwanyika
185,000
14,444,346
458
2019-12-06
Dr.Mwanyika ni Daktari ambaye atakusaidia wewe kujifunza kuhusu Vyanzo mbalimbali vya Magonjwa na namna ya kujikinga, Magonjwa ya akina Mama, Wajawazito na Magonjwa mengine ikiwemo Magonjwa yasiyoambukizwa na yanayoambukizwa, endapo utakuwa na swali au shida yoyote kuhusu Afya yako karibu kwa maswali na upate suluhisho na huduma ya ushauri kuhusu Afya. WhatsApp No. 0629019936 Karibu sana