@fursaonlinetv
12,500
66,004
9
2015-08-20
Channel ambayo itakusogeza jirani na fursa zote unazozifahamu yaan .....ulipo sisi tutakuwepo,unapowaza hili sisi tunawaza kile,ukigusa hapa sisi tunagusa Kuleeee...... Tutajifunza yafuatayo; 1. MAFUNZO YA KOMPUTER KWA KISWAHILI 2. MAISHA YA WANYAMA 3. MAPISHI 4. KILIMO NA UFUGAJI 5. MAISHA,BIASHARA NA UJASILIAMALI 6. VIDEO PRODUCTION NA GRAPHICS DESIGN 7. PHOTOGRAPHY 8. PRACTICLE ZA BIOLOGY ,PHYSICS NA CHEMISTRY 9. MAFUNZO YA VIFAA VYA STATIONERY 10. FURSA MBALIMBALI Karibu sana