@wakilitv564
57,600
6,178,269
2,401
2017-10-30
WAKILI TV, ni Television ya mtandaoni (Online TV) inayomilikiwa na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kwa lengo la kutumika kama njia ya kutolea elimu, muongozo na tafsri ya sheria kwa wananchi na wadau mbalimbali ili kuwapa uelewa wa sheria katika lugha nyepesi na kuifanya jamii iishi kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ya Tanzania.