@luheta
23,200
2,120,148
362
2011-04-12
malengo ya kituo hiki ni: (1) kuelimishana mambo yanayohusu dunia yetu na akhera (2) kufikishiana habari za ukweli na uhakika (3) kuburudishana kwa misingi ya dini ya kiislam hiki kituo kinasimamiwa na mimi Soud Hussein Said Luheta ambae kwa sasa ni mwalimu katika maahad Istiqaama iliyopo Zanzibar, pia ni khatibu na imamu wa masjidi Rahmaan uliyopo Kidichi Zanzibar, pia ni mwalimu mkuu wa madrasa Rahmaan iliyopo Kidichi Zanzibar unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba zifuatazo: (1) Airtel kwa whatsapp tu +255 785 667 909 (2) zantel: +255 772 003 066 (3) facebook: Soudi Luheta