@mkojowangedere
73,900
4,805,876
136
2017-09-14
Karibu kwenye official channel ya Mkojo wa Ngedere! 👌👌👌 Maana kamili ya jina hili, hutokana na mkojo wa ngedere kuwa na ladha mbaya na ya ovyo sana, inayochefua kuliko kitu chochote duniani. Vibonzo hivi vinaelezea maisha ya jamii moja au mtu mmoja kuwa kero kwa wenzake kwa kuwapa maneno yanayokera na kuwachefua. Kaa mkao wa kuburudika maana team ngedere hawana dogo!