Channel Banner
Channel Avatar

EMMANUEL MGOGO Official Tz

🇹🇿 Tanzania

@mgogosinger

Subscribers

210,000

Total Views

46,890,441

Video Count

357

Creation Date

2014-06-16

Channel Description

Emmanuel Mgogo ni Muimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi, Mchungaji na Baba wa familia kutoka Tanzania. Ni muimbaji aliejulikana kwa watu na Kutambulika zaidi baada ya kutoa Album yake ya pili iliyokwenda kwa jina la “MSIKILIZE MUNGU” Mpaka sasa Emmanuel Mgogo ana Album Nne (4) ambazo ni; 1. IKO WAPI NJIA 2. MSIKILIZE MUNGU 3. UMEKUSUDIWA NA MUNGU 4. USO WANGU pamoja na nyimbo zingine nyingi. Miongoni mwa Nyimbo zake maarufu ni pamoja na MIMI NAPENDA,USO WANGU, KONGOLE YESU, NI WEWE TU, INUKA UANGAZE, WAACHE WAJE n.k Hadhira inayomfuatilia imekuwa ikiongezeka kwa kasi zaidi tangu alipoweka rasmi nyimbo zake kwenye mtandao wa YouTube mnamo mwaka 2016 Mwaka 2023 alifungua kanisa linaloitwa SAA YA UFUNUO MATENGENGENEZO NA UREJESHO (SAUMU) lililopo GONGO la mboto Dar es salaam. Ni kanisa lililojaa NGUVU za MUNGU, na miujiza mingi. Mungu azidi kuwabariki ninyi nyote mnaoendelea kufatilia, kuguswa na kuhudumiwa na huduma ya uimbaji kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo. Amen!

Keywords

Gospel music