@maufunditv2339
1,150
0
0
2015-05-04
Karibu MaufundiTv Channel hii ni maalum kwa wapenda vichekesho wote Tanzania na nje ya Mipaka, lengo ni kuwafanya watu wote wawe na furaha kwa kutazama kila clip itakayokuwemo katika channel hii, ili usiwe mchoyo kwenye vitu vizuri basi mtaarifu na mwenzio ili mfaidi wote, kumbuka kizuri kula na nduguyo. Ahsante na endelea kufurahi!