Channel Banner
Channel Avatar

Bongo Mix Tanzania

🇹🇿 Tanzania

@bongo60

Subscribers

115,000

Total Views

6,635,264

Video Count

1,393

Creation Date

2017-04-06

Channel Description

KANUNI NA MUONGOZO BONGO Mix Tanzania ni Channel ambayo inazingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika Nyanja zote Iwe Burudani, Michezo na Siasa iwe ndani ya Nchi au Nje ya Nchi, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote . 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu. 3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi. Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS) 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. 2. BONGO Mix Tanzania ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi. 3. BONGO Mix Tanzania ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. ONYO: Ni Kosa kujimilikisha contents za BONGO TV, COPYRIGHT STRIKE ITAKUHUSU.

Keywords

Bongo Tanzania Bongo mix Bongo tz