@mapiganoulyankuluchoir1
26,400
1,366,666
52
2017-09-22
Mapigano Ulyankulu Choir - Ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili, Kwa Neema ya Mungu tumehudumu kwa Miaka mingi, Kwa njia ya nyimbo tumeufikia Ulimwengu.Tumeona vema kukusanya nyimbo zote katika Channel hii ili kuendelea kuwabariki Watu katika maeneo mbalimbali ya Ulimwengu kwaajili ya Utukufu wa Mungu. Tunapenda kuwakaribisha Katika Account hii ili kupata Ujumbe katika Nyimbo zetu,Neema ya Mungu iwabariki nyote.