@yuhomatvmedia
346,000
13,142,291
1,815
7d ago
10.0
avg. per month
Sera ya Yuhoma Tv 2024 Hii Channel haifungamani na upande wowote wa kisiasa wala Kidini na inamilikiwa na watu binafsi *Mpenzi Mtazamaji wa Yuhoma Tv ,tunashukuru Sana kwa kutuamini lakini pia kufuatilia habari tunazozileta kwako kila siku na hakika umekuwa watu muhimu kwetu NOTE: 🚫 Ili kuendana na sheria za Nchi ni Rai yetu kwako kuzingatia Matumizi sahihi ya Lugha wakati unatoa maoni yako kuhusu Jambo lolote yasimuathili mwingine 🚫Ni Marufuku kumtukana mtu kwa Namna yeyote ile ,usimshambulie mtu kwa sababu ya tofauti za kisiasa ,kiuchumi hata kielimu kwakuwa Ni kukiuka sheria za Nchi na kwa yeyote tutakaye mbaini amefanya hivyo tutamripoti kwenye Vyombo vya sheria ili hatua zichukuliwe 🚫Ni Marufuku kuchapisha habari yeyote ambayo inalenga upotoshaji au udharirishaji wa Aina yeyote hatua zitachukuliwa zaidi.