@richardswai
3,210
67,551
14
2014-06-04
channel hii ni kwa ajili ya burudani na wapenzi wa mabasi, malori na magari madogo yakiwa katika sehemu mbali mbali za Tanzania pia utakutana na ufundi, ujuzi na utaalamu wa madereva mbalimbali wa magari Tanzania. Subscribe na bonyeza kengele ili usipitwe na video mpya.