@enjiidasnan2851
12,000
1,856,574
168
2019-09-04
Hii ni channel yangu rasmi (ukhty enjiid asnan).channel hii inahusu maswala ya qaswida na mas ala yote ya dini ya kiislam ambayo yanalenga kuelimisha jamii na kufikisha ujumbe.haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi mtu yeyote kupost kazi za (ukhty enjiid) bila maridhiano yoyote ama taarifa yoyote. Kutoka kwa mhusika.utapata mafunzo mengi kupitia channel hii yatakayokupa burudani na kukuelimisha bila kukutoa ktk misingi ya kiislamu. For more information about enjiid asnan follow her on:- Instagram: Enjiid-Asnan Youtube:- Enjiid Asnan Contacts 0766743065