Channel Banner
Channel Avatar

INK MEDIA TZ ⚽️

🇹🇿 Tanzania

@inkmediaonlinetv

Subscribers

29,300

Total Views

5,644,778

Video Count

3,171

Creation Date

2018-04-11

Channel Description

MUONGOZO WA CHANNEL YA INK MEDIA TZ INK MEDIA TZ inakupa updates za burudani na zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye burudani ya Tanzania . Sisi kama INK MEDIA TZ kwasababu tunawafikia watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata:- -Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote. -Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, ukabila na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi. -Kuripoti habari za kweli -kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (subscribers na unsubcribers) Lakini pia kwa Walio subscribe channel yetu -sisi kama INK MEDIA TZ huwa tunafuata maoni ya Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maonii yake na yakafanyiwa kazi. -lakini pia kwa wale wachochezi kupitia channel yetu ambao wao hutumia comments kwenye habari zetu tuna uwezo wa kuwaondoa ili kuzuia uchochezi. Email:[email protected] Contant Us +255 783 700 972

Keywords

For the people