Channel Banner
Channel Avatar

Swahili Digital

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania

@swahili_digital

Subscribers

350,000

Total Views

5,372,262

Video Count

574

Last Upload

39d ago

Monthly Uploads

0.3

avg. per month

Channel Description

KANUNI NA MUONGOZO Swahili Digital ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na Maadili yanayoongoza Tasnia ya Habari. Tumejikita katika kuripoti Matukio ya Siasa,Burudani Michezo na masuala ya Kijamii. Tunazingatia Misingi ya Uhariri katika Habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha Taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya Habari kwa kuripoti Habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na Udini, ukabila kufungamana na Chama chochote cha Siasa au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2. Swahili Digital ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali 3. Swahili Digital ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. Swahili Digital ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

Keywords