@sangatv_
222,000
27,786,957
4,461
2015-11-12
Sanga Tv ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejkita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Michezo na Burudani Dawati la Uhariri Sanga Tv e linazingatia haya. 1. kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini, 2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu. 3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja. 4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki. 5. kufanya kazi kwa nidhamu na weredi Muongozo kwa watazamaji wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. 2. Sanga Tv inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvuniifu wa amani au kusababisha taharuki. 3. Sanga Tv inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu. 4. Lugha chafu na zisizo na maadili hazirwhusiwi,