@cresttvtanzania
251,000
16,660,749
1,091
2018-02-24
Cʀᴇsᴛ Tᴠ"JICHO LA ULIMWENGU".. Is Registered Online Television Dealing With Providing All Kind Of News and infotainments World wide. Crest Tv Tanzania Inakusogozea Kwa Haraka Habari Zote Za:- -Siasa -Michezo -Burudani -Tamaduni TUNAZINGATIA YAFUATAYO 1. Kuripoti Habari Za Ukweli Zenye Kufuata Misingi Ya Habari Zenye Uwiano Na Kutoa Fursa Sawa Kwa Pande Zote . 2. Kusaidia Kurekebisha Taarifa Zilizopotoshwa Ili Kuwapa Ukweli Wafuatiliaji Wetu. 3. Kujiepusha Na Udini, Ukabila Au Mambo Yoyote Yanayoweza Kusababisha Uchochezi. MUONGOZO KWA WATAZAMAJI WETU (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS) 1. Kila Mtu Ana Haki Ya Kutoa Maoni Yake. 2. Crest Tv Tanzania Ina Uhuru Wa Kufuta Maoni Yasiyo Na Maadili Au Yenye Matusi. 3. Crest Tv Tanzania Ina Uhuru Wa Kumzuia Mfuatiliaji Aliyekiuka Masharti asiweze Kuona Habari Zetu Au Kuweza Kuweka Maoni. -Elimu -Sayansi. -Teknolojia -Matukio Mbalimbali. KWA MAWASILIANO ZAIDI Email: [email protected]