@joniupdate
256,000
20,174,033
904
2017-08-16
TUNAZINGATIA YAFUATAYO.. 1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote . 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu. 3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi. Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu wa joniupdate 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2. Joniupdate ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali 3. Joniupdate ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. Joniupdate ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni Subscribe hare https://www.youtube.com/c/Joniupdatetz
public
No
longUploadsUnspecified
UUraXz5ZLN8XlbmU2e3ynW_Q