Channel Banner
Channel Avatar

adow9 musictz

🇹🇿 Tanzania

@adow9musictz931

Subscribers

14,600

Total Views

1,082,720

Video Count

114

Last Upload

45d ago

Monthly Uploads

0.3

avg. per month

Channel Description

9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako. Yoshua 1:9 23 Bwana akamwambia Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa. Waamuzi 6:23 10 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 11 Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia. Isaya41:10_11 9 Bwana akamwambia Paulo kwa maono usiku, Usiogope, bali nena, wala usinyamaze matendo ya mitume 18:9

Keywords

adow9musictz