Channel Banner
Channel Avatar

MKULIMA SMART TV

🇹🇿 Tanzania

@mkulimasmart

Subscribers

35,600

Total Views

3,377,852

Video Count

929

Creation Date

2020-06-11

Channel Description

MKULIMA SMART INITIATIVES ni kampuni binafsi iliyoanzishwa na Ndugu Engineer Honoratus Salvatory. Ambaye ndiye mkurugenzi mtendaji. DIRA: Kuona kila mtanzania akipata chakula cha kutosha,salama na chenye viini lishe muhimu. MOTO: KILIMO MIFUGO NI BIASHARA Malengo: 1. Kutoa taarifa muhimu za chakula kama vile bei za vyakula masokoni,hali ya hewa n.k 2.Kutoa mafunzo kwa njia ya semina,kozi fupi,makongamano,warsha na mashamba darasa 3.Kutoa huduma ya ushauri na ugani kwa wakulima,wafugaji na watanzania wote kwa ujumla ili kuzalisha chakula cha kutosha na kwa gharama nafuu. 4.Kusimika miundo mbinu mbalimbali ya kilimo na ufugaji kwa ajili ya mashamba darasa. Ili kufikia malengo hayo njia zifuatazo zitatumika:- Kutumia TEHAMA/ICT kama kifaa muhimu cha kupeleka tahaarifa kwa walengwa kama vile:- 1.Mitandao ya kijamii facebook,Youtube,whatsup n.k 2.Radio za kijamii na televisheni 3.Tovuti 4.Majarida na vijitabu. Call/Whatup +255 713 178 868 Email:[email protected] Website

Keywords