@msowchaplaincyetmmust
4,740
415,227
60
2019-09-25
KWAYA YA MAMA MARIA KIKAO CHA HEKIMA - MMUST, ni kwaya iliyo chini ya bewa kuu la Mama Maria Kikao Cha Hekima (Our Blessed Mother Mary Seat of Wisdom Chaplaincy) katika Chuo kikuu cha Sayansi na Technolojia cha Masinde Muliro. Bewa hili lipo chini ya Jimbo katoliki la Kakamega, Kenya. Bewa hili ni mojawapo wa maparokia katika Jimbo la Kakamega.